Bahari ya Sulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ph physical map.png|350px|thumb|Bahari ya Sulu kati ya Borneo na Ufilipino.]]
[[Picha:Tubbataha_Shark.jpg|thumb| [[Papa (samaki)|Papa]] inayopatikanaanayepatikana katika Hifadhi ya KitaifaTaifa ya Twanga ya Tubbataha, Bahari la Sulu, Ufilipino .]]
'''Bahari ya Sulu''' (kwa [[Kifilipino]]; ''Dagat ng Sulu,; ing.kwa [[Kiingereza]]: Sulu Sea)'' ni sehemu ya [[Bahari Pasifiki]] iliyopo kati ya [[Ufilipino]] na [[kaskazini]] [[mashariki]] mwa [[Borneo|kisiwa cha Borneo]] (sehemu ya [[Malaysia]]), ikipakanwaikipakana upande moja na [[funguvisiwa la Sulu]] (ng'ambo yake [[Bahari ya Celebes]]) na kwa upande wa [[kaskazini]] [[mashariki]] na kisiwa cha [[Palawan]] (ng'ambo yake [[Bahari ya Kusini ya China]]). <ref>{{Cite web|title=Coron Bay, Philippines : UnderwaterAsia.info|url=http://www.underwaterasia.info/dive-guide-philippines/palawan-north.php|work=www.underwaterasia.info|accessdate=23 April 2018|archiveurl=https://web.archive.org/web/20171005001437/http://www.underwaterasia.info/dive-guide-philippines/palawan-north.php|archivedate=5 October 2017}}</ref> <ref>{{Cite web|title=Sulu Sea, Philippines : UnderwaterAsia.info|url=http://www.underwaterasia.info/dive-guide-philippines/sulu-sea.php|work=www.underwaterasia.info|accessdate=23 April 2018|archiveurl=https://web.archive.org/web/20160601110924/http://www.underwaterasia.info/dive-guide-philippines/sulu-sea.php|archivedate=1 June 2016}}</ref>
 
== Jiografia na ekolojia ==
Uso wa sehemu hii ya [[bahari]] ina [[kilomita za mraba]] 260,000. [[Kina]] cha [[wastani]] ni [[mita]] 1139.
 
Ndani ya Bahari ya Sulu iko [[Hifadhi ya KitaifaTaifa ya Tubbataha Reef]] inayoorodheshwailiyoorodheshwa katikana orodha[[UNESCO]] kati ya [[Urithi wa Dunia]]. <ref>C.Michael Hogan. 2011. ''Sulu Sea''. Encyclopedia of Earth. Eds. P.Saundry & C.J.Cleveland. Washington DC</ref>
 
Kwenye kusini[[Kusini]] [[magharibi]] yamwa Bahari ya Sulu kuna [[visiwa]] ambako [[kasa]] wanatega [[mayai]] yao, hasa [[Kasa Uziwa]] (''chelonia mydas'') na [[Kasa Mwamba]] (''eretmochelys imbricata)''.
 
== Maharamia ==
Bahari ya Sulu ina [[historia]] ndefu ya [[uharamia]] uliostawi katika mapambano baina ya [[Wahispania]] (waliotawala sehemu za vsiwavisiwa vya Ufilipino) na wapinzanowapinzani wao [[wazalendo]].
 
Baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] uharamia ulipata nguvu tena. Mara nyingi ni makundi ya maharamia hadi kumi wanaoshambulia hasa [[Boti|maboti]] madogo ya [[mizigo]] na ya [[abiria]] pamoja na [[wavuvi]]. Katika [[miaka ya 1980]] takriban mashambulio 100 yalikadiriwa kila [[mwaka]] katika Bahari ya Sulu.<ref name="Liss2011">{{cite book|url=https://books.google.com/books?id=Ofx0RLCzJT8C|title=Oceans of Crime. Maritime Piracy and Transnational Security in Southeast Asia and Bangladesh|last=Liss|first=Carolin|date=2011|publisher=ISEAS Publishing|isbn=978-981-4279-46-8|location=Singapore}}</ref>{{rp|60}} Maharamia wa eneo hili wanahofiwa kwa sababu wanaua haraka kuliko kawaida na pia wanateka nyara.
 
==Marejeo==
Mstari 20:
== Viungo vya nje ==
{{Commons category-inline|Bahari ya Sulu}}
{{mbegu-jio-Asia}}
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Pasifiki]]
[[Jamii:Jiografia ya Ufilipino]]
[[Jamii:Jiografia ya Malaysia]]