Tofauti kati ya marekesbisho "Mwese"

726 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
}}
'''Mwese''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>
 
Kata ya mwese inachabihiana na mkoa wa kilimanjaro kuanzia kilimo Cha migomba na kahawa kwa sababu sehemu kubwa ya wakazi wa kata hiyo ni Kabila la Wachagga ambao walihamishiwa hapo na Mwalimu Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo ya 1970 .
 
Pia wapo wachache wanaotokana na kabila la Watutsi walio pesa urais na Wakikuyu ambao walibakia Tanznaia baada ya Uhuru na kuletwa na kundi la
 
VIVUTIO VYA UTALII ... kwenye kata ya mwese kuna moto ambao unajulikana kama MTO MAPACHA ambao unaaminika kuwa wanaokunywa maji yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata MAPACHA ; sehemu kubwa ya wakati wa Mwese wamebarikiwa mapacha
 
Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana KILIMANJARO kama Mbegge .
 
 
<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>
 
==Marejeo==
Anonymous user