Bahari ya Weddell : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Bahari zinazopakana na Antaktiki.png|right|thumb|450px| Mtazamo wakutoka angani juu ya [[Bara la Antaktiki|Antaktika]] . Bahari ya Weddell ndiondiyo 'bay' kwenye kona ya juu kushoto. ]]
'''Bahari ya Weddell''' ni sehemu ya [[Bahari ya Kusini]] iliyopo katika [[hori]] kubwa baina ya [[Rasi Antaktiki]] na [[Nchi ya Coats]]. Sehemu kubwa ya eneo lake nilimefunikwa barafu ya kudumu.na [[Argentinabarafu]] (nchiya iliyo karibu zaidi),kudumu. [[ChileUpana]] nakwenye [[Ufalme wa Muungano|Ufalme wa Maunganomdomo]] wanashindana kuhusu usimamizi juu ya sehemu hii. Upana kwenye mdomo wa hori ni karibu [[km]] 2,000, eneo hilo ni karibu [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 2.8. [[Kina]] chake ni baina ya [[mita]] 500 hadi 5,000.
[[Picha:NASA's_DC-8_Flying_Over_the_Weddell_Sea.jpg|left|thumb| Barafu inayofunika sehemu ya kusini ya Bahari ya Weddell.]]
Bahari hiyo ilipewa [[jina]] la [[nahodha]] [[Mwingereza]] na [[mwindaji]] wa [[sili]] [[James Weddell]] aliyeingia katika [[bahari]] hiihiyo mnamo [[1823]] akafika hadi [[latitudo]] ya kusini ya 74. Sili wa Weddell ni moja ya [[wanyama]] ambao wanaishi katika eneo hilo.
 
[[Argentina]] (nchi iliyo karibu zaidi), [[Chile]] na [[Ufalme wa Muungano]] wanashindana kuhusu usimamizi wa sehemu hii.
Sili wa Weddell ni moja ya wanyama ambao wanaishi katika eneo hilo.
 
== TovutiViungo zavya Nje ==
{{commons cat}}
 
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Bahari ya Kusini]]
[[Jamii:jiografia ya Antaktika]]