Tofauti kati ya marekesbisho "Mwese"

78 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
}}
'''Mwese''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio humo<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>, wengi wao wakiwa [[Wachagga]] kutoka [[mkoa wa Kilimanjaro]] waliohamishiwa hapo na [[Mwalimu Nyerere]] mwanzoni mwa [[miaka ya 1970]].
Wengi wao wakiwa Wacchagga KUtoka mkoa wa KILIMANJARO waliohamishiwa hapo na Mwalimu Nyerere miaka ya 1970.
 
Kata ya mweseMwese inachabihianainashabihiana na mkoa wa kilimanjaroKilimanjaro kuanzia [[kilimo]] Chacha [[migomba]] na [[kahawa]]. kwaKatika sababu sehemu kubwakata ya wakaziMwese wapia katawanatumia hiyo[[vinywaji]] nimaarufu Kabilavinavyopatikana laKilimanjaro Wachagga ambao walihamishiwa hapo na Mwalimu Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo yakama 1970vile [[mbege]].
 
Pia wapo wachache wanaotokana na [[kabila]] la [[Watutsi walio pesa urais]] na [[Wakikuyu]] ambao walibakia TanznaiaTanzania baada ya [[Uhuru na kuletwa na kundi la]].
 
VIVUTIOKati VYAya UTALIIvivutio ...vya kitalii kwenye kata ya mweseMwese kuna moto[[mto]] ambao unajulikana kama MTO[[Mto MAPACHAMapacha]] ambao unaaminika kuwa wanaokunywa [[maji]] yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata MAPACHA[[watoto]] [[Mapacha|pacha]]; sehemu kubwa ya wakatiwakazi wa Mwese wamebarikiwa mapacha.
 
Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana KILIMANJARO kama Mbegge .
 
 
<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{Mbegu-jio-katavi}}
{{Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini}}