Oresund : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 47 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q104662 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Oresund from helsingborg.jpg|thumb|250px|right|'''Oresund''' inavyoonekana kutoka upande wa [[Uswidi]] ]]
 
'''Oresund''' ([[Kidenmark]]: ''Øresund'', [[Kiswidi]]: ''Öresund'') ni mlango wa bahari[[mlangobahari]] unaotenganisha kisiwa cha [[Zealand]] ''(Sjælland)'' katika [[Denmark]] na jimbo la [[Skone]] (''Skåne'') katika [[Uswidi]].
 
Oresund ni moja kati ya milango mitatu ya bahari inayopita katika visiwa vya Denmark na kuunganisha [[Bahari ya Kaskazini]] na [[Bahari ya Baltiki]] kwa njia ya [[Kattegat]] na [[Skagerak]]. Ni kati ya njia za bahari duniani zenye meli nyingi sana.
Mstari 14:
 
[[Jamii:Ulaya]]
[[Jamii:Mlango wa bahariMilangobahari]]
[[Jamii:Skandinavia]]