Nyanda za juu za Ethiopia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Ethiopia relief location map.jpg|300px|thumb|[[Ramani]] ya Ethiopia.]]
[[Picha:Semien Mountains 13.jpg|thumb|Milima ya Semien.]]
'''Nyanda za juu za Ethiopia''' ni eneo la [[milima]] mirefu nchini [[Ethiopia]] zikienea
== Jiografia ==
[[Nyanda za juu]] zinagawanywa
Upande wa [[kaskazini]]-[[magharibi]] wa nyanda za juu huwa na [[Majimbo ya Ethiopia|majimbo]] ya [[Jimbo la Amhara|Amhara]] na [[Jimbo la Tigray|Tigray]] pamoja na [[milima ya Semien]]. Kilele
Sehemu ya [[kusini]] [[mashariki]] iko zaidi ndani ya [[Jimbo la Oromia]]. [[Milima Bale|Milima ya Bale]] ni karibu sawa kwa kimo na ile ya Semien. [[
[[Miji]] mikubwa ya nchi iko kwenye mwinuko wa mita 2,000 - 2,500 juu ya usawa wa bahari, ikiwa pamoja na [[Addis Ababa]] na miji mikuu ya kihistoria kama vile [[Gondar]] na [[Axum]]
== Jiolojia ==
[[Picha:Dendi_Caldera.jpg|thumb|[[Kaldera]] ya [[volkeno Dendi]].]]
Nyanda za juu za Ethiopia zilianza
[[Picha:Ethiopian_Highlands_01.jpg|right|thumb|Nyanda za juu za kaskazini, nyuma Mlima [[Ras Dashan]].]]
== Marejeo ==
Mstari 21:
== Viungo vya nje ==
* "Ethiopian montane forests" . Jumuia za ulimwengu . Mfuko wa Wanyamapori Ulimwenguni.
* "Ethiopian montane grasslands and woodlands" . Jumuia za ulimwengu . Mfuko wa Wanyamapori Ulimwenguni.
* "Ethiopian montane moorlands" . Jumuia za ulimwengu . Mfuko wa Wanyamapori Ulimwenguni.
* [http://www.ethiopianwolf.org Programu ya Uhifadhi wa Wolf ya Ethiopia]
{{mbegu-jio-Ethiopia}}
[[Jamii:Jimbo la Tigray]]
[[Jamii:Jimbo la Amhara]]
|