Milima ya Zagros : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Zagros.png|thumb|240x240px| Milima ya Zagros nchini ran (mstari mwekundu) ]]
'''Milima ya Zagros''' (Kifarsi کوههای زاگرس ''kuh-haye zagros''), ni [[safu ya milima]] katika magharibi na kusini-magharibi nchini Iran ikienea pia katika [[Iraq|Iraki]] na [[Uturuki]]. Urefu wake ni mnamo kilomita 1,500. Safu inaanza katika kaskazini-magharibi ya Iran, ikifuata mpaka wa magharibi wa nchi hii halafu pwani la [[Ghuba ya Uajemi]] upande wa kusini, ikiishia kwenye [[Mlango wa Hormuz|mlangobahari wa Hormuz]].
|