Milima ya Zagros : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Zagros.png|thumb|240x240px| Milima ya Zagros nchini ran (mstari mwekundu) ]]
'''Milima ya Zagros''' (Kifarsikwa [[Kifarsi]]: کوه‌های زاگرس ''kuh-haye zagros''), ni [[safu ya milima]] katika [[magharibi]] na [[kusini]]-magharibi nchini [[Iran]] ikienea pia katika [[Iraq|Iraki]] na [[Uturuki]]. Urefu wake ni mnamo kilomita 1,500. Safu inaanza katika kaskazini-magharibi ya Iran, ikifuata mpaka wa magharibi wa nchi hii halafu pwani la [[Ghuba ya Uajemi]] upande wa kusini, ikiishia kwenye [[Mlango wa Hormuz|mlangobahari wa Hormuz]].
 
[[Urefu]] wake ni mnamo [[kilomita]] 1,500. Safu inaanza [[kaskazini]]-magharibi mwa Iran, ikifuata mpaka wa magharibi wa nchi hiyo halafu [[pwani]] ya [[Ghuba ya Uajemi]] upande wa kusini, ikiishia kwenye [[Mlango wa Hormuz|mlangobahari wa Hormuz]].
Miinuko ya juu zaidi katika Milima ya Zagros ni [[ Zard Kuh |Zard Kuh]] (mita 4,548) na mlima Dena (m 4,359).
 
Miinuko ya juu zaidi katika Milima ya Zagros ni [[ Zard Kuh |Zard Kuh]] ([[mita]] 4,548) na [[mlima Dena]] (m 4,359).
Eneo la Zagros ni sehemu muhimu ya uzalishaji wa [[mafuta ya petroli]].
 
Eneo la Zagros ni sehemu muhimu ya [[uzalishaji]] wa [[mafuta ya petroli]].
 
== Marejeo ==
Line 10 ⟶ 12:
 
== Tovuti za Nje ==
 
* ''Zagros'', Picha kutoka Iran, [http://www.livius.org/a/iran/zagros/zagros.html ''Livius''] .
* [http://www.peakbagger.com/range.aspx?rid=42 Major Peaks of the Zagros Mountains]
 
{{mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:JiografiaMilima ya Iraq|Z]]
[[Jamii:JiografiaMilima ya Iran|Z]]
[[Jamii:Milima ya Uturuki|Z]]