Julius Nyerere : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Pamoja na marekebisho mengine madogo madogo, nimetoa sentensi "Kwa hakika aliiathiri kuliko yeyote yule" maana haileti maana halisi kwa wasomaji
No edit summary
Mstari 61:
{{History of Tanzania}}
'''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere''' (alizaliwa [[Butiama]] [[Mkoa wa Mara|mkoani Mara]], pembezoni mwa [[Ziwa Nyanza]] [[13 Aprili]] [[1922]] - alifia [[London]], [[Uingereza]], [[14 Oktoba]] [[1999]]) alikuwa [[rais]] wa kwanza wa [[Tanzania]], na mara nyingi anatajwa kama "Baba wa Taifa".
Ndiye mwasisi wa [[itikadi]] ya [[ujamaa]] na [[kujitegemea]] iliyotangazwa hasa katika [[Azimio la Arusha]].
 
Kabla ya kuingia kwenye [[siasa]] alikuwa ni [[mwalimu]]. [[Kazi]] hiyo ndiyo iliyompatia jina ambalo lilimkaa maisha yake yote la "Mwalimu."