Milima ya kuvukia Antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Antaktiki milima.png|450px|thumb|[[Ramani]] ya Antaktiki (mstari kahawia: Milima ya kuvukia Antaktiki).]]
'''Milima ya kuvukia Antaktiki''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Transantarctic Mountains'') ni [[safu ya milima]] katika [[bara]] la [[Bara la Antaktiki|Antaktiki]]. Inagawa bara hilo kuwa sehemu mbili za [[mashariki]] na [[magharibi]]. Inaenea kwa zaidi ya [[km]] 3,200.
 
'''MilimaMiinuko ya kuvukia Antaktiki''' (ing. Transantarctic Mountains)juu ni [[safuzaidi ya milima]] katika [[baramita]] la [[Bara la Antaktiki|Antaktiki]] . Inagawa bara hilo kuwa sehemu mbili za mashariki na magharibi. Inaenea kwa zaidi ya km 3,200. Miinuko ya juu ni zaidi ya mita 4,500 juu ya [[usawa wa bahari]], mrefu zaidi ni [[Mlima KirckpatrickKirkpatrick]] (m 4528) katika [[Nchi ya Viktoria]] karibu na [[Bahari ya Ross]]. Miinuko ya juu zaidi zinaonekana juu ya ganda la [[barafu]] inayofunikalinalofunika bara lote leneyelenye unen[[unene]] wa mita 3,000 laakinilakini sehemu za duni zaidi ya milima ziko chini ya uso wa barafu.
[[Picha:Antaktiki milima.png|450px|thumb|Ramani ya Antaktiki (mstari kahawia: Milima ya kuvukia Antaktiki)]]
'''Milima ya kuvukia Antaktiki''' (ing. Transantarctic Mountains) ni [[safu ya milima]] katika [[bara]] la [[Bara la Antaktiki|Antaktiki]] . Inagawa bara hilo kuwa sehemu mbili za mashariki na magharibi. Inaenea kwa zaidi ya km 3,200. Miinuko ya juu ni zaidi ya mita 4,500 juu ya usawa wa bahari, mrefu zaidi ni Mlima Kirckpatrick (m 4528) katika Nchi ya Viktoria karibu na [[Bahari ya Ross]]. Miinuko ya juu zaidi zinaonekana juu ya ganda la barafu inayofunika bara lote leneye unen wa mita 3,000 laakini sehemu za duni zaidi ya milima ziko chini ya uso wa barafu.
 
[[Rasi ya Antaktiki]] upande wa magharibi si sehemu ya milima hiihiyo.
 
Kutokana na [[baridi]] kali ya [[mazingira]] hakuna [[wanyama]] wala mimeo,[[mimea]]: [[uhai wa]] pekee ni viumbe[[viumbehai]] sahili kama vile [[bakteria]], <ref>{{Cite journal|last=Sokol|first=Eric|last2=Craig W. Herbold|last3=Charles K. Lee|last4=S. Craig Cary|last5=J. E. Barrett|date=Nov 2013|title=Local and regional influences over soil microbial metacommunities in the Transantarctic Mountains|url=http://hdl.handle.net/10919/24807|journal=Ecosphere|volume=4|pages=art136|doi=10.1890/es13-00136.1|access-date=8 January 2014}}</ref> [[Algae|mwani]] na [[kuvu]] .
 
[[Jina]] la "Transantarctic Mountains" ilitumiwa kwanza mnamo [[1960]], kwenye makala ya [[Jiolojia|mtaalamu wa jiolojia]] [[Warren Hamilton]]. <ref>Hamilton, Warren B. (1960). "[https://books.google.com/books?id=iGpXAAAAMAAJ&pg=SL2-PA379&lpg=SL2-PA379 New interpretation of Antarctic tectonics.]" ''Geological Survey Research 1960 — Short Papers in the Geological Sciences'', pp. B379–380. Washington DC: US Geological Survey.</ref>
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
[[Jamii:Jiografia ya Antaktika]]
[[Jamii:Milima]]