Julius Nyerere : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 60:
}}
{{History of Tanzania}}
'''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere''' (alizaliwa [[Butiama]], [[Mkoa wa Mara|mkoani Mara]], pembezoni mwa [[Ziwa Nyanza]], [[13 Aprili]] [[1922]] - alifia [[London]], [[Uingereza]], [[14 Oktoba]] [[1999]]) alikuwa [[rais]] wa kwanza wa [[Tanzania]], na mara nyingi anatajwa kama "Baba wa Taifa". kwa jinsi alivyoathiri nchi hiyo.
Ndiye mwasisi wa [[itikadi]] ya [[ujamaa]] na kujitegemea iliyotangazwa hasa katika [[Azimio la Arusha]].
 
Line 71 ⟶ 72:
Alipostaafu urais mwaka [[1985]] alirudi [[Kijiji|kijijini]] kwake Butiama ambako aliendesha shughuli za [[kilimo]]. Hata hivyo aliendelea kuwa na athari kubwa katika siasa ya Tanzania hadi kifo chake.
 
Kwa ruhusa ya [[makao makuu]] ya [[Kanisa Katoliki]] duniani, [[Jimbo Katoliki la Musoma]] lilianza kushughulikia [[kesi]] ya kumtangaza [[mwenye heri]] na hatimaye [[mtakatifu]]. Kwa sababu hiyo anaitwa pia "[[mtumishi wa Mungu]]". Baada ya hapo [[Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania]] limepokea [[jukumu]] la kuratibu mchakato huo pamoja na [[kesi]] kuhamishiwa [[Jimbo Kuu la Dar es Salaam]] kutokana na Nyerere kuishi muda mrefu [[Jiji|jijini]] humo<ref>https://www.mwananchi.co.tz/habari/kitaifa/Maaskofu-Katoliki-Tanzania-kuratibu-mchakato-/1597296-5310510-i48y5n/index.html</ref>.
 
==Maisha yake==
Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka [[1922]] katika [[kijiji]] cha [[Butiama]], [[wilaya]] ya [[Musoma vijijini|Musoma]], [[mkoa wa Mara]], Tanzania (wakati ule: [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]]).
 
Alikuwa mmojawapo kati watoto 26 wa Nyerere Burito, [[chifu]] wa [[kabila]] la [[Wazanaki]].