Edmond Halley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Edmund Halley.gif|thumb|Edmond Halley mnamo 1690.]]
[[Picha:Halleold.jpg|thumb|Halley mzee, mnamo 1736.]]
[[Picha:Halley Edmund grave.jpg|thumb|Kaburi la Halley.]]
'''Edmond Halley''' ([[8 Novemba]] [[1656]] - [[14 Januari]] [[1742]]) alikuwa [[Wanaastronomia|mwanaastronomia]] kutoka nchini [[Uingereza]]. <ref>Mra nyingi anatajwa kwa umbo la "Edmund" lakini mwenyewe alipendelea kuandika "Edmond" ''The Times'' (London) ''Notes and Queries'' #254, 8 November 1902 p36</ref>
 
Alikuwa pia [[mtaalamu]] wa [[Mwanahisabati|hisabati]], wa [[metorolojia]] na fizikiawa [[fizikia]]. Halley anajulikana zaidi kwa kukafiriakukadiria [[obiti]] ya [[nyotamkia]] iliyopata [[jina]] lake, yaani [[Nyotamkia ya Halley]] .
 
==Familia na elimu ya awali==
 
Halley alizaliwa katika kaunti ya Middlesex, Uingereza. Babake Edmond Halley alikuwa fundi wa sabuni mjini London na tajiri. Aliposoma shuleni kijana Halley alivutwa sana na hisabati. Alisoma shule ya St Paul's alipoanza kujifunza astronomia. 1673 aliingia Queen's College mjini [[Oxford]]. Wakati bado alikuwa mwanafunzi, Halley alitunga makala kuhusu [[Mfumo wa Jua]] na [[madoa ya Jua]].
 
Line 23 ⟶ 21:
 
== Yaliyopewa jina la Halley ==
 
* Kasoko ya Halley ([[kasoko]] kwenye [[Mwezi]])
* Kasoko ya Halley (kasoko kwenye [[Mirihi|sayari Mirihi]])
Line 35 ⟶ 32:
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
 
==Viungo vya Nje==
Line 51 ⟶ 47:
* [http://janus.lib.cam.ac.uk/db/node.xsp?id=EAD%2FGBR%2F0180%2FRGO%202 Online catalogue of Halley's working papers (part of the Royal Greenwich Observatory Archives held at Cambridge University Library)]
* Halley, Edmond (1724) [http://lhldigital.lindahall.org/cdm/ref/collection/earththeory/id/2435 "Some considerations about the cause of the universal deluge, laid before the Royal Society, on the 12th of December 1694"] and [http://lhldigital.lindahall.org/cdm/ref/collection/earththeory/id/2439 "Some farther thoughts upon the same subject, delivered on the 19th of the same month"] ''Philosophical Transactions, Giving Some Account of the Present Undertakings, Studies, and Labours of the Ingenious, in Many Considerable Parts of the World. Vol. 33'' p.&nbsp;118–125. – digital facsimile from [[Linda Hall Library]]
{{BD|1656|1742}}
[[Jamii: Wanaastronomia wa Uingereza]]