Tofauti kati ya marekesbisho "Hifadhi ya Serengeti"

21 bytes removed ,  miezi 9 iliyopita
d
Masahihisho aliyefanya 196.249.96.111 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 84.246.0.29
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d (Masahihisho aliyefanya 196.249.96.111 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 84.246.0.29)
Tag: Rollback
}}
 
[[Image:Hifadhi za Taifa - Tanzania Kaskazini.PNG|thumb|300px|Ramani ya Tanzania Kaskazini pamoja na Serengeti]]cayden
[[File:Zebra in the Serengeti Wildebeest Migration.jpg|thumb|right|250px|[[Pundamilia]] na [[nyumbu]] wakati wa kuhama]]
[[File:Serengeti sunset, Tanzania.JPG|thumb|right|250px|[[Machweo]] ya Serengeti]]
'''Hifadhi ya Serengeti''' ni eneo kubwa la [[mbuga]] na [[misitu]] katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya [[Mkoa wa Mara|Mara]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]] ikipakana na nchi ya [[Kenya]]. [[Jina]] Serengeti limechukuliwa kutoka [[lugha]] ya [[Kimasai]] hasa: "Serengit" humaanisha "Kiwara kisichoisha". <ref>Northern Tanzania with Kilimanjaro and Zanzibar, by Phillip Briggs, 2006, page 198. ISBN 1841621463.</ref> <ref>[http://darkwing.uoregon.edu/~dlpayne/Maa%20Lexicon/index-english/main.htm Maa (Maasai) Dictionary]</ref>
 
==Eneo==NI KABAYA
Eneo lake ni 14,763 [[km²]] na ki[[jiografia]] inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa [[Hifadhi ya Masai Mara]].cayden
 
[[Mazingira]] ya Serengeti ni kanda ya kijiografia katika kaskazini-magharibi mwa [[Tanzania]] na inaenea kusini-magharibi mwa [[Kenya]] kati ya latitude 1 na 3 Kusini na longitude 34 na 36 Mashariki. Inaenea kiwango cha mraba kilometa 30,000 <sup>2.</sup>
Eneo la [[hifadhi]] ya [[Ngorongoro]] liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. [[Olduvai Gorge|Bonde la Olduvai]] ambako mabaki ya [[zamadamu]] yalipatikana liko ndani ya Serengeti.
 
Kanda hii ina [[hifadhi za taifa]] na [[hifadhi mchezo kadhaa]].
 
==Wanyama==