Tofauti kati ya marekesbisho "Mwese"

116 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(kunyosha nyongeza kisarufi na kitahajia)
 
}}
'''Mwese''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio humo<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>, wengi wao wakiwa [[Wachagga]] kutoka [[mkoa wa Kilimanjaro]] waliohamishiwa hapo na [[Mwalimu Nyerere]] mwanzoni mwa [[miaka ya 1970]].
<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>
 
Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia [[kilimo]] cha [[migomba]] na [[kahawa]]. Katika kata ya Mwese pia wanatumia [[vinywaji]] maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile [[mbege]] .
 
Pia wapo wachache wanaotokana na [[kabila]] la [[Watutsi]] waliopokea [[uraia]] na [[Wakikuyu]] ambao walibakia Tanznaia baada ya [[Uhuru]].
Kata ya Mwese ilianzishwa na Wachgga waliopelekwa hapa na serikali ya Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo ya 1970 walioleta kilimo cha [[migomba]] na [[kahawa]].
 
Pia wapo wachache wanaotokana na kabila la [[Watutsi]] waliopokea uraia na Wakikuyu ambao walibakia Tanznaia baada ya Uhuru.
 
Kwenye kata ya Mwese kuna moto ambao unajulikana kama Mto Mapacha ambao unaaminika kuwa wanaokunywa maji yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata mapacha.
 
Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama [[mbege]] .
 
Kwenye kata ya Mwese kuna moto[[mto]] ambao unajulikana kama [[Mto Mapacha]] ambao unaaminika kuwa wanaokunywa [[maji]] yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata mapachawatoto pacha.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini}}
{{Mbegu-jio-katavi}}
{{Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini}}
 
[[Jamii:Mkoa wa Katavi]]
[[Jamii:Wilaya ya Mpanda Vijijini]]