Tofauti kati ya marekesbisho "Mwese"

No change in size ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia [[kilimo]] cha [[migomba]] na [[kahawa]]. Katika kata ya Mwese pia wanatumia [[vinywaji]] maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile [[mbege]].
 
Pia wapo wachache wanaotokana na [[kabila]] la [[Watutsi]] waliopokea [[uraia]] na [[Wakikuyu]] ambao walibakia TanznaiaTanzania baada ya [[Uhuru]].
 
Kwenye kata ya Mwese kuna [[mto]] ambao unajulikana kama [[Mto Mapacha]] ambao unaaminika kuwa wanaokunywa [[maji]] yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata watoto pacha.