Porto Velho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 47 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q172512 (translate me)
No edit summary
Mstari 23:
}}
'''Porto Velho''' ni jina la mji mkuu wa jimbo la [[Rondônia]] katika [[Brazil]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 380,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 85 kutoka [[juu ya usawa wa bahari]].
 
Porto Velho ni mji wa [[bandari]] uliopo kwenye Mto Madeira. Wakati wa miezi ya mvua usawa wa maji hupanda juu na meli kutoka Atlantiki hufikia Porto Velho.
 
== Viungo vya nje ==