Mbwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Masahihisho aliyefanya Junior James Somi (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Praxidicae Tag: Rollback |
||
Mstari 34:
Wanyama hawa wana [[pua]] ndefu na [[mguu|miguu]] mirefu na [[mkia]] wa manyoya. Rangi yao ni kijivu, kahawia au hudhurungi; kwa kawaida [[tumbo]] ni jeupe.
Spishi nyingine zinatokea [[msitu|misituni]] na nyingine zinatokea maeneo wazi. Mbwa hukamata mawindo aina yoyote lakini ukubwa wa mawindo unafuatana na ukubwa wa spishi ya mbwa. Hata hivyo, spishi zinazoishi kwa makundi, kama [[mbwa-mwitu wa Afrika]], zinaweza kukamata windo kubwa sana kuliko wao wenyewe. Spishi kadhaa hufugwa na binadamu, hususan mbwa-kaya.
|