Hwang Hee-chan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:FC Admira Wacker Mödling vs. FC Red Bull Salzburg (Cup) 2017-04-26 (097).jpg|thumb|Hwang Hee-chan akiwania mpira katika mechi dhidi ya modling]]
'''Hwang Hee-chan''' (alizaliwa [[26 Januari]] [[1996]]) ni [[mchezaji]] wa [[mpira wa miguu]] wa [[Korea Kusini]] ambaye anacheza kama [[mshambuliaji]] wa [[klabu]] ya Red Bull Salzburg na [[timu ya taifa]] ya koreaKorea ya kusiniKusini.
 
==Kazi ya klabu==
Mstari 6:
Mnamo [[Desemba]] [[2014]], Pohang Steelers alikusudia kumsainisha mkataba Hwang Hee-chan kama Mchezaji wa FC Red Bull Salzburg.
 
Mnamo tarehe [[3 Novemba]] [[2016]], Hwang alitokea kwenye benchi na kuweza kufunga goli kwenye mechi ya Ligi ya Europa akiwa na [[klabu]] yake ya Salzburg dhidi ya klabu ya Nice upande wa Ligue 1 , akichangia timu yake kushinda mchezo huo wa kwanza wa Europa kwenye hatua ya makundi.
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}