Content deleted Content added
Mstari 1,048:
 
== Mfumo ''katika soka'' ==
 
Ndugu Riccardo natumai uko salama,
kuna makala inayohusu mifumo katika soka "formation" nilijaribu kutafsiri kutoka lugha ya kiingereza, nilivyochapisha utangulizi haukua na marejeo kabisa pamoja na jamii, nilikuta notification kwamba ukurasa huo utafutwa, niliongeza vilivyokosekana kwa kutafsiri kipande kingine chenye marejeo, kwa upande wa jamii niliweka michezo hii ilikua ijumaa ya tarehe 18, hadi leo hii bado naona kuna ujumbe wa kufuta makala hiyo.--'''[[Mtumiaji:Innocent Massawe|Innocent Massawe]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Innocent Massawe|majadiliano]])''' 05:36, 21 Oktoba 2019 (UTC)
 
:Ndugu, usiogope, mradi haijafutwa! Tutaipitia upya. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 06:42, 21 Oktoba 2019 (UTC)