Yamuna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
}}
[[Picha:Yamuna.jpg|thumb| Mto Yamuna katika mji wa Agra, Uhindi. ]]
'''Yamuna''' (kwa [[Kihindi]]: यमुना, ''yamunā'',; pia: जमुना, '''Jamuna'''; जमुना,kwa [[Kiurdu]]: جمنا}) ni [[mto]] mkubwa huko [[Uhindi]] [[Kaskazini]]. Ni [[tawimto]] mkubwakubwa zaidi la [[Ganga (mto)|mto Ganga]].
 
Huanza kwenye [[milima]] ya [[Himalaya]] katika [[Uttarakhand|jimbo la Uttarakhand]]. InaendeleaUnaendelea katika [[majimbo ya Uhindi]] ya [[Haryana]], [[Delhi|eneo la mji mkuu Delhi]] na [[Uttar Pradesh]]. Mwishowe, kwenye [[mji]] wa [[Allahabad]], inaishia katika mto Ganga baada ya mwenomwendo wa [[kilomita]] 1,370.
 
TawimitiMatawimto yake muhimu zaidi ni mito [[mto Tons|Tons]] na [[mto Chambai|Chambai]].
 
== Picha ==
Mstari 33:
 
== Tovuti za Nje ==
 
* [http://www.tri-murti.com/ancientindia/rigHistory/ch4.htm Jiografia ya Rigveda]
* [http://yap.nic.in/yamuna.asp Mpango wa utekelezaji wa Yamuna]
{{mbegu-jio-Uhindi}}
[[Jamii:Mito ya Uhindi]]