Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 48:
<ref>Soccer Formations, www.soccerhelp.com [http://www.soccerhelp.com/Soccer_Formation_Basics.shtml]</ref>
<ref>Formations, www.expertfootball.com [http://www.expertfootball.com/coaching/formations.php]</ref>
Kuna wachezaji wa aina tatu: [[beki|walinzi]], [[wachezaji wa kiungo]] na [[wachezaji wa mbele]] au straika. [[Goli kipa]] au [[mlinda lango]] ni mmoja kati ya walinzi.
 
Ni uamuzi wa [[kocha]] kuhusu idadi ya wachezaji wa kulinda lango, wa kiungo au wa mbele, ikitegemea mfumo uliotumika. Mfumo wa 4-4-2<ref>Mfumo wa 4-4-2, www.soccer-training-guide.com [http://www.soccer-training-guide.com/soccer-formations.html]</ref> umekuwa maarufu miongoni mwa timu nyingi. Mfumo huu hujumlisha walinzi wanne pamoja na mlinda lango, wachezaji wanne wa kiungo na wawili wa mbele.