Nyeri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 21:
'''Nyeri''' ni [[mji]] wa [[Kenya]] ya kati, takriban [[kilomita]] 100 [[kaskazini]] kwa [[Nairobi]], miguuni mwa [[safu ya Aberdare]] ikitazama [[mlima Kenya]]. Nyeri ni [[makao makuu]] ya [[Kaunti ya Nyeri]].
 
[[Mwaka]] [[2009]] ulikuwa na wakazi 125,357<ref>[https://www.knbs.or.ke/download/volume-1a-population-distribution-by-administrative-units-2/?wpdmdl=3765 Sensa ya Kenya 2009], [[tovuti]] ya [[KNBS]], ilitazamwa Januari 2009.</ref>. Wakazi walio wengi ni [[WakikuyuWamasai]].
 
Nyeri imejulikana kimataifa kwa sababu ni mahali pa kuzikwa kwa [[Robert Baden-Powell]] anayekumbukwa kama [[mwanzilishi]] wa harakati ya [[maskauti]]. Maskauti kutoka nchi mbalimbali za [[dunia]] hufika hapo mara kwa mara kwa kumheshimu [[mzee]] huyu.