Mto Krishna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{mto
| jina = Mto Krishna
| picha = Krishna.png
| maelezo_ya_picha = Beseni ya Krishna
| chanzo = Milima ya [[Ghat ya Magharibi]], jimbo la [[Maharashtra]]
| mdomo = [[Ghuba ya Bengali]]
| nchi = Uhindi
| urefu = [[kilomita|km]] 1,400
| kimo = [[mita|m]] 914
| tawimitomatawimto =
| tawimitomatawimto kulia = mito Venna, Koyna, Panchganga, Dudhaganga, Ghataprabha, Malaprabha, Tungabhadra
| tawimitomatawimto kushoto = mito Bhima, Dindi, Peddavagu, Musi, Paleru, Munneru
| mkondo = [[mita ya ujazo|m<small><sup>3</sup></small>]] 1,641
| eneo = [[kilomita ya mraba|km<small><sub>2</sub></small>]] 258,948
| watu =
| miji =
}}
[[Picha:Soutěska řeky Kršny u Šríšajlamu.jpg|thumb| Bonde la mto Krishna karibu na Srisailam, [[Andhra Pradesh]], [[Uhindi]]]]
'''Mto Krishna''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: Krishna River) ni kati ya [[mito]] mikubwa ya [[Uhindi]] ukiwa mto mrefu wa tano katika nchi hii. Uko katika [[kusini]] ya Uhindi. Mto ndio chanzo kikuu cha [[umwagiliaji]] katika [[Majimbo ya Uhindi|majimbo]] ya [[Telangana]], [[Maharashtra]], [[Karnataka]] na [[Andhra Pradesh]] .
 
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake kipo kwenye [[milima]] ya [[Ghat ya Magharibi]] halafu unaendelea kuvuka [[rasi ya Uhindi]] hadi kuishi upande wa [[mashariki]], katika [[Ghuba ya Bengali]].
 
Jina la mto ni ya kukumbuka [[mungu Krishna]] wa dini ya [[Uhindu]].
 
[[Jina]] la mto ni ya kukumbuka [[mungu Krishna]] wa [[dini]] ya [[Uhindu]].
{{mbegu-jio-Uhindi}}
[[Jamii:Andhra Pradesh]]
[[Jamii:Karnataka]]