John Magufuli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.250.230.116 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
→‎Elimu: + picha
Mstari 40:
 
==Elimu==
[[Picha:Magufuli Katoke Seminari 1975.jpg|left|thumb|Magufuli kijana akiwa kidato cha kwanza katika shule ya Seminari Katoke, Machi 1975. ]]
Ana [[Shahada]] ya [[Uzamivu]] ya [[Kemia]] ([[2006]] – [[2009]]) kutoka [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]. Pia miaka [[1991]] – [[1994]] alisomea Shahada ya [[Uzamili]] (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha [[Salford]] nchini [[Uingereza]] na miaka [[1985]] – [[1988]], alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na [[Hisabati]]. Kabla ya hapo Magufuli alisoma [[diploma]] katika Chuo cha Mkwawa akichukua masomo ya Kemia na Hisabati, hiyo ilikuwa miaka [[1981]] – [[1982]].