Mto Tajo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 9:
| urefu = [[kilomita|km]] 1,007
| kimo = [[mita|m]] 1,627
| tawimitomatawimto =
| tawimitomatawimto kulia = mito Gallo, Jarama, Guadarrama, Alberche, Tiétar, Alagón, Zêzere
| tawimitomatawimto kushoto = mito Guadiela, Algodor, Gévalo, Ibor, Almonte, Salor, Sever
| mkondo = [[mita ya ujazo|m<small> <sup>3</sup></small>]] 500
| eneo = [[kilomita ya mraba|km<small><sup>2</sup></small>]] 80,100
Mstari 19:
[[Picha:VV Rodão Setembro 2010-7a.jpg|thumb| Tajokaribu na mpaka wa Hispania - Uremo]]
 
'''Mto Tajo''' (pia: '''Tejo'''; kwa [[Kihispania]]: Tajo,; kwa [[Kireno]]: Tejo,; kwa [[Kiingereza]]: Tagus) ni [[mto]] mrefu zaidi katika [[rasi ya Iberia]] yaani kwenye nchi za [[Hispania]] na [[Ureno]]. [[Urefu]] wake ni [[km]] 1,007 kwa jumla, ikiwa km 716 ziko nchini Hispania na km 275 huko [[Ureno]] . Kwa km 47 mto huu ni mpaka kati ya Ureno na Hispania. Tejo inaishia katika ya [[Bahari Atlantiki]] karibu na m ji[[mji mkuu]] wa Ureno, [[Lisbon]] .
 
[[Beseni]] yakelake ni [[km2]] 80,100. Tajo-Tejo hutumiwa sana kwa shughuli za [[umwagiliaji]] katika sehemuisehemu inapopita. kozi yake yote. [[Lambo|Mabwawa]] kadhaa yanakusanya [[maji]] ya kunywa kwa maeneo mengi ya Hispania, pamoja na [[Madrid]], na ya Ureno. Kuna [[Umememaji|vituo kadhaa vya umeme]] vinavyotengeneza [[umeme]]. Kwenye [[mdomo]] wake [[Bahari|baharini]] mto unapanuka sana na hapandipo [[bandari]] ya Lisbon inapatikanainapopatikana.
 
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] cha Tajo kipo katika [[milima]] ya [[Mkoa wa Teruel]] nchini Hispania. [[Miji]] mikubwa zaidi ambako hupitia ni [[Aranjuez]], [[Toledo]], [[Talavera de la Reina]] na [[Alcántara]] huko Uhispania, halafu [[Abrantes]], [[Santarém]], [[Almada]] na [[Lisbon]] huko Ureno.
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Jamii:Mito ya Ulaya]]
[[Jamii:Mito ya Hispania]]
[[Jamii:Mito ya Ureno]]