Syr Darya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Syr Darya"
 
No edit summary
Mstari 1:
{{mto
== External links ==
| jina = Syr Darya
| picha = Syrdaryamap.png
| maelezo_ya_picha =
| chanzo = Kuungana kwa mito Naryn na Kara Darya katika [[Bonde la Ferghana]]
| mdomo = [[Ziwa Aral]]
| nchi = [[Kirgizia]], [[Uzbekistan]], [[Tajikistan]], [[Kazakhstan]]
| urefu = [[kilomita|km]] 2,212
| kimo = [[mita|m]] 400
| tawimito =
| tawimito kulia = Mito Naryn, Chirciq, Arys, Chu, Sarysu
| tawimito kushoto = Mto Kara
| mkondo = [[mita ya ujazo|m<small><sup>3</sup></small>]] 1,180 kwa wastani (170 wa chini, 3,900 wa juu)
| eneo = [[kilomita ya mraba|km<small><sup>2</sup></small>]]
| watu =
| miji =
}}
[[Picha:Syr Darya River Floodplain, Kazakhstan, Central Asia.JPG|thumb| Picha ya mto Syr Darya iliyopigwa kutoka anga-nje ]]
'''Syr Darya''' (Kigiriki cha Kale ilijulikana kama '''Iaxartes''' ( {{Lang-grc|Ἰαξάρτης}} ), ni mto wa [[Asia ya Kati]]. Chanzo cha maji yake kipo katika [[Milima ya Tian Shan]] huko [[Kirgizia]] na mashariki mwa [[Uzbekistan]]. Mto mwenyewe unaanza Kirgizia katika Bonde la Ferghana ambako tawimito mikubwa ya Naryn na Kara Darya inaungana. Inaendelea kupita kwa km 2,212 katika [[Tajikistan]], [[Uzbekistan]] na [[Kazakhstan]] hadi kuishia katika [[Aral (ziwa)|Ziwa Aral]].
 
Pamoja na Amu Darya ni mmoja wa mito mikubwa kwenye beseni ya Ziwa Aral. Wakati wa utawala wa Umoja wa Kisovyeti maji ya mito hii miwili yalitumiwa kwa miradi mikubw ya umwagiliaji iliyosababisha kupotea kwa asilimia 90 za Ziwa Aral.
Line 8 ⟶ 24:
{{Reflist}}
 
== ExternalViungo linksva Nje ==
 
* [http://www.britannica.com/eb/article-9070767/Syr-Darya Britannica.com]