Tofauti kati ya marekesbisho "Syr Darya"

4 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
}}
[[Picha:Syr Darya River Floodplain, Kazakhstan, Central Asia.JPG|thumb| Picha ya mto Syr Darya iliyopigwa kutoka anga-nje ]]
'''Syr Darya''' (Kigiriki cha Kale ilijulikana kama '''Iaxartes''' (Ἰαξάρτης), ni mto wa [[Asia ya Kati]]. Chanzo cha maji yake kipo katika [[Milima ya Tian Shan]] huko [[Kirgizia]] na mashariki mwa [[Uzbekistan]]. Mto mwenyewe unaanza Kirgizia katika Bonde[[bonde la Ferghana]] ambako tawimito mikubwa ya Naryn na Kara Darya inaungana. Inaendelea kupita kwa km 2,212 katika [[Tajikistan]], [[Uzbekistan]] na [[Kazakhstan]] hadi kuishia katika [[Aral (ziwa)|Ziwa Aral]].
 
Pamoja na Amu Darya ni mmoja wa mito mikubwa kwenye beseni ya Ziwa Aral. Wakati wa utawala wa Umoja wa Kisovyeti maji ya mito hii miwili yalitumiwa kwa miradi mikubw ya umwagiliaji iliyosababisha kupotea kwa asilimia 90 za Ziwa Aral.