Tawimto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' thumb|Mstari buluu mnene ni mto mkuu, mstari mwembamba ni tawimto. '''Tawimto'''<ref>Neno hili "tawimto" haikutumiwa sana b...'
 
No edit summary
Mstari 1:
 
[[File:Icon river tributary L.svg|thumb|Mstari buluu mnene ni mto mkuu, mstari mwembamba ni tawimto.]]
'''Tawimto'''<ref>Neno hili "tawimto" haikutumiwa sana bado na waandishi na wasemaji wa Kiswahili, ni kati ya istilahi za sayansi zilizopendekezwa na kamusi ya [[KAST]], uk.306.</ref> ([[ing.]] ''tributary'') ni [[mto]] unaoishia katika mto mwingine na mkubwa zaidi.
 
Kwa kawaida maji ya eneo fulani hutiririka chini na kuwa vijito na mito hadi kuishia katika mto mkuu unaobeba maji yote hadi baharini, ziwa kubwa au wakati mwingine katika sehemu ya jangwa yanapopotea. Mto unaofikia mwishi hutazamiwa kuwa mto mikuu wa beseni, na yote mingini ni tawimito yake, ama moja kwa moja au kupitia tawimito mingine.