Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1,055:
==Tawimto==
Naona umeanza kusahihisha uwingi wa tawimto kuwa "matawimto". Una uhakika ??? Tawimto ni mto ambao ni tawi la mfumo wa mto mkubwa zaidi. Kama ni mingi ni mito - ha hii naona ni neno kuu. Kwa hiyo si lazima "mito" ionyeshe uwingi? Sikioni inaumia kidogo nikiona "matawimto mikubwa" ([[Syr Darya]]). '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 13:07, 25 Oktoba 2019 (UTC)
 
:Labda umesahau kwamba jambo hilo la neno linalotokana na mawili tulilijadili katika warsha wa astronomia, nikapewa majibu ya hakika: ni mafungunyota, mafunguvisiwa n.k. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 15:25, 25 Oktoba 2019 (UTC)