Content deleted Content added
Mstari 1,057:
 
:Labda umesahau kwamba jambo hilo la neno linalotokana na mawili tulilijadili katika warsha wa astronomia, nikapewa majibu ya hakika: ni mafungunyota, mafunguvisiwa n.k. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 15:25, 25 Oktoba 2019 (UTC)
 
::Sawa kabisa, hii ninakumbuka sana. Ila tu: fungunyota ni fungu moja lenya nyota nyingi, kundibyota vilevile, kwa hiyo kama mafungo mengi - unapata umbo.
Tawimto si tawi moja lenye mito mingi, wala mto moja mwenye matawi mengi (kinyume chake katika ufafanuzi!) - ni mto mmoja lenye tabia ya kuwa tawi la mto mkubwa zaidi. Kwa hiyo naona mantiki halingani. Ama iwe "matawimito" au "tawimito". Basi nitajaribu kuuliza aruspicina di Tataki. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:31, 25 Oktoba 2019 (UTC)