Ghil'ad Zuckermann : Tofauti kati ya masahihisho

Mfufuaji Lugha aliyezaliwa nchini Israel, mtafiti wa lugha, na mwanazuoni.
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb||Profesa Ghil'ad Zuckermann, D.Phil. ([[Chuo Kikuu cha Oxford|Oxon.), 2011]] '''Ghil'ad Zuckermann''' (*1 Juni 1971) (D.P...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 01:50, 26 Oktoba 2019

Ghil'ad Zuckermann (*1 Juni 1971) (D.Phil., Oxford, 2000; Ph.D., Cambridge, 2003) ni mtaalamu wa isimu (sayansi inayochunguza lugha) mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Israel, Italia, Uingereza na Australia.

Profesa Ghil'ad Zuckermann, D.Phil. (Oxon.), 2011

Tangu 2011 amekuwa profesa kwenye chuo cha Chuo Kikuu cha Adelaide, Australia Kusini, Australia.[1][2][3]

Maandishi yake ya kisayansi

Vitabu

filamu

Marejeo

  1. Alex Rawlings, 22.3.2019, BBC Future, The man bringing dead languages back to life ("Ghil'ad Zuckermann has found that resurrecting lost languages may bring many benefits to indigenous populations – with knock-on effects for their health and happiness").
  2. Sarah Robinson, 11.3.2019, The LINGUIST List, Featured Linguist: Ghil‘ad Zuckermann.
  3. Dr Anna Goldsworthy on the Barngarla language reclamation, The Monthly, 9.2014.

Viungo vya Nje