Lugha za Kihindi-Kiulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
[[Picha:IE3500BP.png|thumb|232px|right|Uenezi katikati ya [[milenia ya 2 KK]]]]
[[Picha:IE2500BP.png|thumb|232px|right|Uenezi takriban mwaka [[250 KK]]]]
'''Lugha za Kihindi-Kiulaya''' ni [[jamii]] ya [[lugha]] iliyo kubwa kuliko zote [[duniani]]. KunaImekadiriwa kuna [[lugha hai]] 445 za jamii hiyo na wasemaji [[bilioni]] 23.52 katika [[Bara|mabara]] yote (46[[%]] za watu wote wa leo).
 
Uenezi huo umetokana hasa na [[historia]] ya [[ukoloni]] wa [[Wazungu|Kizungu]] uliopeleka lugha za [[Ulaya]] pande zote za [[dunia]].
 
Lugha zenye wasemaji zaidi ya milioni 100 ni: [[Kihispania]], [[Kiingereza]], [[Kihindustani]] ([[Kihindi]]/[[Kiurdu]]), [[Kireno]], [[Kibengali]], [[Kipanjabi]] na [[Kirusi]].
 
Nyingine zenye wasemaji zaidi ya milioni 50 ni: [[Kijerumani]], [[Kifaransa]], [[Kimarathi]], [[Kiitalia]] na [[Kiajemi]].
[[Picha:IndoEuropeanTree.svg|thumb|300px|Lugha za Kihindi-Kiulaya]]
== Jina la Kihindi-Kiulaya ==
[[Jina]] la Kihindi-Kiulaya limepatikana tangu [[karne ya 19]]. [[Wataalamu]] walitambua ya kwamba lugha za kale zinazotunzwa [[Maandishi|kimaandishi]] kama [[Kilatini]], [[Kigiriki]], [[Kisanskrit]] na [[Kiajemi]] cha Kale zinafanana kati yake pia na lugha zinginenyingine za kisasa za Ulaya na [[Uhindi]] wa [[Kaskazini]].
Lugha za jamii ya Kihindi-Kiulaya zinafanana katika [[msamiati]] na [[sarufi]].
 
== Nadharia ya asili na usambazaji ==
Inaaminika ya kwamba lugha hizo zilikuwa na [[asili]] ya pamojamoja katika lugha isiyojulikana tena ya [[Lugha za Kihindi-Kiulaya|Kihindi-Kiulaya]] asilia.
 
Wasemaji wake wanaaminiwa kuwa walisambaa takriban miaka 6,000 iliyopita kutoka sehemu za [[Asia ya Magharibi]]. Sehemu ilikwenda [[magharibi]] na kuingia Ulaya, sehemu nyingine ilikwenda [[Uajemi]] na [[Bara Hindi]].