Content deleted Content added
Mstari 1,060:
::Sawa kabisa, hii ninakumbuka sana. Ila tu: fungunyota ni fungu moja lenya nyota nyingi, kundibyota vilevile, kwa hiyo kama mafungo mengi - unapata umbo.
Tawimto si tawi moja lenye mito mingi, wala mto moja mwenye matawi mengi (kinyume chake katika ufafanuzi!) - ni mto mmoja lenye tabia ya kuwa tawi la mto mkubwa zaidi. Kwa hiyo naona mantiki halingani. Ama iwe "matawimito" au "tawimito". Basi nitajaribu kuuliza aruspicina di Tataki. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:31, 25 Oktoba 2019 (UTC)
 
:::Nakubali kwamba kuna tofauti na fungunyota, lakini jibu lilikuwa kwamba -a inayofuata ni lazima ilingane na fungu, si nyota, kwa hivyo iwe la, si za. Kama ni hivyo, wingi wake ni ya kutokana na mafungu. Sasa naona kuhusu tawimto ni vilevile. Labda tunaelewa tofuati neno hilo. Wewe unalisoma kama mtotawi, mto ulio tawi la mwingine. Mimi naona ni tawi la mto. Yaani hapa neno mto unajumlisha mto mkuu na matawi yake yote. Basi, uulizie TATAKI, bila kusahau suala la "virusi za UKIMWI". Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 11:53, 27 Oktoba 2019 (UTC)