Gitaa kavu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|200px|Mfano wa gitaa la [[C. F. Martin & Company|C.F. Martin]] '''Gitaa kavu''' (au '''gitaa l...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:41, 27 Oktoba 2019

Gitaa kavu (au gitaa lisilotumia umeme) ni chombo cha muziki katika familia ya gitaa, ambacho nyuzi zake hutoa sauti kikavukavu hewani. Kiasili liliitwa gitaa tu, neno kavu lilikuja kutumika baada ya kukua kwa teknolojia na kutofautishwa kwake na matumizi ya gitaa la umeme—ambalo hutumia nguvu ya umeme kutengeneza mfumo wake wa sauti.

Mfano wa gitaa la C.F. Martin

Picha za magitaa

Marejeo

Jisomee

Viungo vya Nje