Ziwa Maracaibo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
 
== Shida za mazingira ==
[[Picha:Close-up of Lake Maracaibo, Venezuela.jpg|thumb| Picha ya rangi ya uwongo kuonyesha uchafuzi wa ziwa: Vigongo vyenye giza katika eneo la hudhurungi ni kumwagika kwa mafuta ]]
 
Ekolojia ya ziwa huwa na matatizo, Miji mikubwa kando lake humwaga majitaka mle. Uzalishaji wa mafuta husababisha mara kwa mara machafuko ya mafuta.