Ziwa Maracaibo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
| miji = [[Maracaibo]], [[Cabimas]], [[Ciudad Ojeda]]
}}
'''Ziwa Maracaibo''' ( {{Lang-es|Lago de Maracaibo}} ) ni eneo kubwa la maji karibu na pwani la [[Venezuela]]. Limeunganishwa na [[Bahari Karibi]] kwa njia ya mfereji wa mwenye upana wa km 5.5. Kupitia mfereji huu [[maji ya chumvi]] hungia ndani yake, kwa upande mwingine eneoziwa linaishwalinalishwa na mito mingi. Upande wa kaskazini maji yake huwa ya chumvi-chumvi, upande wa kusini huwa na maji matamu. Hivyo lina tabia zaya [[Hori|hori ya bahari]] lakini pia ya [[ziwa]] <ref>{{Cite web|url=https://www.britannica.com/place/Lake-Maracaibo|title=Lake Maracaibo|work=[[Encyclopædia Britannica]]|date=16 June 2016|accessdate=6 December 2016|author=The Editors of Encyclopædia Britannica}}</ref> <ref>{{Cite book|url=https://www.merriam-webster.com/dictionary/Lake%20Maracaibo|title=Webster's New Geographical Dictionary|last=Merriam-Webster|date=2016|publisher=Merriam-Webster|isbn=0-87779-446-4|page=727}}</ref> <ref>{{Cite book|title=Comprehensive Atlas of the World|last=Times Books|date=2014|publisher=HarperCollins|isbn=978-0-00-755140-8|page=47}}</ref> <ref>{{Cite web|url=http://www.qunlimited.com/conflict.htm|title=Who Wants to Be a Judge at the National Academic Championship?|work=National Academic Championship|date=2003|accessdate=6 December 2016|author=Question Unlimited}}</ref>. Kwa kawaida huitwa "ziwa", si "hori"<ref name="Murphy">{{Cite journal|last=John C. Murphy|title=Marine Invasions by Non-Sea Snakes, with Thoughts on Terrestrial–Aquatic–Marine Transitions|url=http://icb.oxfordjournals.org/content/52/2/217.full|journal=Integr. Comp. Biol.|publisher=Oxford Journals Volume 52, Issue 2 Pp. 217-226.|issue=52 (2)|pages=217–226.|doi=10.1093/icb/ics060|access-date=May 10, 2012|quote=...from Lake Maracaibo, Venezuela.
The mostly freshwater lake is a remnant of the [[Orinoco]] changing course, and has a direct flow of water from the Caribbean through the Strait of Maracaibo and Tablazo Bay.}}</ref>.
 
Jina lake limetokana na mji wa [[ Maracaibo |Maracaibo]], ambao upo upande wa mashariki wamwa mfereji wa kuingia baharini. Pale Maracaibo mfereji huwa na upana wa km 8. , kituo hiki ni karibu kilomita 8.5 kwa upana ukivukwa kwa daraja ndefu. <ref>{{Cite web|url=https://www.theguardian.com/travel/2015/mar/11/venezuela-lightning-lake-maracaibo|title=Venezuela’s nightly lightning show|author=Baverstock, Alasdair|date=11 March 2015|work=The Guardian|accessdate=19 April 2015}}</ref>
 
Ziwa Maracaibo huwa na vipimo vya km 160 kwa km 110. Idadi ya mito inayoishia humo ni 135 na mkubwa kati yai ni Mto Catatumbo.
 
== Umuhimu wa uchumi ==
[[Meli]] za baharini zinaweza kuingia ndani ya Ziwa Maracaibo na kupeleka mizigo kwenda mabandari ya Maracaibo na Cabimas.
 
Tangu mnamo mwaka 1914, [[mafuta ya petroli]] yalipatikana katika ziwa. HAdi leo ziwa na mazingira yake ni kitovu cha uzalishaji wa mafuta nchini Venezuela. <ref>{{Cite journal|last=Boschetti|first=Tiziano|last2=Angulo|first2=Beatriz|last3=Cabrera|first3=Frank|last4=Vásquez|first4=Jhaisson|last5=Montero|first5=Ramón Luis|date=2016|title=Hydrogeochemical characterization of oilfield waters from southeast Maracaibo Basin (Venezuela): Diagenetic effects on chemical and isotopic composition|url=https://www.sciencedirect.com/science/article/pii/S0264817216300435|journal=Marine and Petroleum Geology|volume=73|pages=228-248|doi=10.1016/j.marpetgeo.2016.02.020|via=Elsevier Science Direct}}</ref> Takribani robo ya wakazi wa Venezuela wanaishi katika bonde karibu na ziwa. <ref>{{Cite web|url=http://www.worldlakes.org/lakedetails.asp?lakeid=9069|title=LakeNet - Lakes|work=www.worldlakes.org}}</ref>