Bomu la ardhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Bomu ardhini hadi Bomu la ardhi: baada ya kuchungulia matumizi kwenye intaneti
No edit summary
Mstari 3:
'''Bomu la ardhini''' ([[ing.]] ''landmine'') ni [[silaha]] inayofichwa ardhini na kulipuka wakati inaguswa au kusikitishwa na mwendo wa karibu.
 
Bomu la ardhini ni silaha ya utetezi inayotumiainayotumiwa kuzuia au kuchelewesha mwendo wa adui karika eneo fulani.
 
Tangu vita kuu ya kwanza ya dunia mabomu ya ardhini yalitengenzwa viwandani na kupatikana kwa wingi. Tangi siku zile teknolojia ya mabomu haya yameendelea sana.