Kusini kwa Sahara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:East and southern africa early iron age.png|thumb|Hali ya hewa barani Afrika: Kusini kwa Sahara kwanza kuna [[Sahel]] na [[Pembe la Afrika]] upande wa [[kaskazini]] ([[njano]]), halafu [[savana]] ([[kijani]] kibichi) na [[misitu]] ya tropiki (kijani iliyokolea) katika [[Afrika ya Ikweta]], hatimaye [[jangwa]] la [[Kalahari]] (njano) na [[hali ya Kimediteranea]] upande wa kusini ([[rangi]] ya [[zeituni]]) [[Kusini mwa Afrika]]. Namba zinaonyesha tarehe za vifaa vya [[Zama za chuma]] kuhusiana na uenezi wa [[Bantu]].]]
'''Kusini kwa Sahara''' (mara nyingi '''Kusini mwa Sahara''') au '''Afrika peusi''' ni eneo lote la [[bara]] la [[Afrika]] ambalo liko upande wa [[kusini]] wa [[Jangwa la Sahara]].
 
Kulingana na [[Umoja wa Mataifa]], eneo hili linajumuisha nchi zote za Afrika ambazo ziko kusini kwa Sahara. Eneo hili linatofautiana na [[Afrika Kaskazini]], ambao maeneo yake ni sehemu ya [[Umoja wa Kiarabu]].