Mto Liao : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 15:
| watu =
| miji =
}}'''Mto Liao''' ni [[mto]] mkuu
==Tabia==
Liao inapita kwenye njia yake ya [[km]] 1,345 katika [[beseni]]
Hata hivyo inabeba maji kiasi tu maana mkondo wake una [[mita ya ujazo|m<small><sup>3</sup></small>]] 500 pekee.
Maji yake huwa na [[matope]] mengi maana mto
== Njia ya mto ==
[[Picha:盘锦芦苇荡.JPG|300px|thumb|Mto Liao kwenye tambarare ya China Kaskazini Mashariki]]
Mto Liao unaanza mahali pa kuungana kwa [[tawimito]] mikuu miwili ambayo ni '''[[Mto Xiliao]]''' (Liao ya magharibi) na '''[[Mto Dongliao]]''' (Liao ya mashariki).
Mkono wa magharibi wa Liao unapita kabisa [[Mongolia ya Kichina|ndani ya Mongolia]] [[Mongolia ya Kichina|ya Kichina]]
Mkono wa mashariki unaanza katika [[Jilin|Jimbo la Jilin]], ukipita katika njia yenye [[umbo]] la "S" hadi kuungana na mkono wa magharibi.
Sasa Mto Liao
Kabla ya kufika [[Bahari|baharini]] mto unajigawa kwa [[mikono]] miwili na hivyo kuunda [[delta]] yake inayoishia katika [[bahari ya Bohai]].
== Tawimito ==
Mstari 56:
<references/>
{{mbegu-jio-China}}
[[Jamii:Mito ya China]]
|