Sheria za soka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Sheria za soka'''<ref name="lawsgame">{{cite web|author1=IFAB|title=Laws of the Game|url=http://www.theifab.com/laws|website=theifab.com|publisher=Interna...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Sheria za soka''' (kwa [[Kiingereza]]: “The Law Of the Game”; [[kifupi]]: '''LOTG'''<ref name="lawsgame">{{cite web|author1=IFAB|title=Laws of the Game|url=http://www.theifab.com/laws|website=theifab.com|publisher=[[International Football Association Board]] | location=Zurich | date = 18 May 2017 | accessdate=27 August 2017 }}</ref>) ni kanuni zilizoundwa maalumu ili kusimamia masuala yote yanayohusu mchezo wa [[soka]].
 
'''Sheria za soka'''<ref name="lawsgame">{{cite web|author1=IFAB|title=Laws of the Game|url=http://www.theifab.com/laws|website=theifab.com|publisher=[[International Football Association BoardSheria]] | location=Zurich | date = 18 May 2017 | accessdate=27 August 2017 }}</ref> (kwa kiingereza “The Law Of th Game” ('''LOTG''')) ni kanuni zilizoundwa maalumu kusimamia masuala yote yanayohusu mchezo wa soka. Sheria inaelezea [[idadi]] ya wachezaji kila [[timu]] inapaswa kuwa nao, [[urefu]] wa [[mchezo]], [[kipimo]] cha [[uwanja na mpira]], [[asili]] na aina yaza faulu [[refa]] anawezaanazoweza kutoa adhabu, sheria yenye utata kuliko zote ya kuotea na sheria nyingine kadhaa. Wakati wote wa mchezo, ni [[jukumu]] la refa kufafanua na kutekeleza kwa jinsi sheria inavyoelekeza.
 
Katika katikatiKatikati ya [[karne ya 19]], kulifanyika jaribio ya kugeuza sheria kuwa za ishara zaidi. Sheria hizi zina historia ya kuanzia mwaka 1863 ambapo kifungu cha sheria kiliundwa na bodi iliyokua ikishughulikia masuala ya soka iliyoundwa mwaka huohuo kwa jina la (The Football Association|Footba). Kwa muda mrefu sheria hizo zimekua zikirekebishwa na kuanzia mwaka 1886 ziliwekwa chini ya bodi maalumu (International Football Association Board).
 
Ndio sheria pekee ambazo [[FIFA]] wameruhusu zitumike nan chi wanachama wake.<ref>{{Cite web|url=https://img.fifa.com/image/upload/adzakrcd0dv7fqefmss0.pdf|title=FIFA Statutes - July 2012 edition|last=|first=|date=|website=FIFA.com|publisher=FIFA|archive-url=|archive-date=|access-date=|quote=Each Member of FIFA shall play Association Football in compliance with the Laws of the Game issued by IFAB. Only IFAB may lay down and alter the Laws of the Game.}}</ref> Sheria hizi zinaruhusu utofauti mdogo baina ya nchi.
 
==Sheria za sasa za mchezo==
===Sheria===
Line 20 ⟶ 22:
* Sheria namba 11: [[Kuoteka katika soka]]
* Sheria namba 12: [[Faulu na matendo yasio ya kimichezo]]
* Sheria namba 13: Mapigo huru ([[Mapigo huru ya moja kwa moja]] andna [[Mapigo huru yasiyo ya moja kwa moja]])
* Sheria namba 14: [[Penalti]]
* Sheria namba 15: [[Urushaji mipira iliyotoka]]
Line 28 ⟶ 30:
 
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Mpira wa Miguu]]