Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:UBN Encyclopaedia Britannica.JPG|300px|thumbnail|[[Encyclopedia Britannica]] ilikuwa kamusi elezo mashuhuri zaidi [[duniani]] hadi kuja kwa Wikipedia.]]
'''Kamusi elezo''' (pia: '''ensiklopediaensaiklopedia''', ing.kutoka [[Kiingereza]]: ''encyclopedia'') ni [[kitabu]] kinachojaribu kadiri iwezekanavyokinachokusudiwa kukusanya [[ujuzi]] wa [[binadamu]] kadiri iwezekanavyo kulingana na wingi wa kurasa zake.
 
Siku hizi, [[Wikipedia]] ni kamusi elezo kubwa zaidi [[duniani]] lakini si kitabu cha [[karatasi]], ni mkusanyo wa habari kwa [[umbo]] [[Dijiti|dijitali]] katika [[intaneti]]. Zamani (kabla ya kuja kwa Wikipedia) [[Encyclopedia Britannica]] ilikuwa kati ya kamusi elezo kubwa zaidi ikitolewa kama vitabu vivyochapishwavilivyochapishwa.
 
==Historia==
Katika [[historia]] zilikuwepo majaribio mbalimbali ya kukusanya ujuzi wote wa [[dunia]]. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka [[China]] iliyotungwa na wataalamu 2000 katika [[karne ya 14]] na kuandikwa kwa [[mkono]] katika vitabu 1100.