Tofauti kati ya marekesbisho "Kimondo cha Mbozi"

no edit summary
d
 
 
[[Picha:kimondombozi.jpg|thumb|200px|Kimondo cha Mbozi]]
'''Kimondo cha Mbozi'''<ref>Wakati mwingine kinatajwa kama "Mbosi meteorite" kwa kufuata tahajia ya Kijerumani ya jina la Mbozi</ref> ni [[kimondo]] ambacho kimeangukakilianguka kutoka [[anga-nje]] karibu na mji wa [[Vwawa]]. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa takriban [[tani]] 16, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Songwe]], [[Tanzania]].
 
Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.