Coco (filamu ya 2017) : Tofauti kati ya masahihisho

filamu ya 2017
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Coco''' ni filamu ya vibonzo (katuni) iliyotengenezwa mnamo mwaka 2017 na Pixar Animation Studios na kusambazwa na Walt Disney Pictures....'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:38, 3 Novemba 2019

Coco ni filamu ya vibonzo (katuni) iliyotengenezwa mnamo mwaka 2017 na Pixar Animation Studios na kusambazwa na Walt Disney Pictures. Filamu hii imeundwa kulingana na mawazo ya Lee Unkrich huku akiwa kama Mkurugenzi pamoja na mkurugenzi wake msaidizi aitwaye Adrian Molina. Katika filamu hiyo walioingiza sauti ni Anthony Gonzalez, Gael García Bernal, Benjamin Bratt, Alanna Ubach, Renée Victor, Ana Ofelia Murguía pamoja na Edward James Olmos.

Filamu hii inamuhusu kijana wa kiume wa miaka 12 aitwaye Miguel ambaye anapelekwa katika ardhi ya wafu kwa bahati mbaya. Huko anamtafuta babu yake ambaye anampa msaada wa kurudi katika maisha ya watu waishio na kwenda kuvunja mwiko wa Muziki katika familia yao.


mbegu-filamu