Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

no edit summary
Tag: 2017 source edit
 
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000">
[[Picha:Hariri-ukurasa-huu.PNG|450px|right|Bonyeza "hariri chanzo" kubadili makala]]
Ukurasa huu unaeleza hali ya kihariri cha kawaida (wiki-text-editor). Kwa kutumia '''kihariri oneshi''' (VisualEditor) bofya '''[[Kihariri oneshi|hapa]]''' (ukiona maandishi mekundu, haikuandaliwamaana badoyake ni kwamba haijaandaliwa).
 
Unaweza kuhariri kila ukurasa katikawa wikipediaWikipedia yaani kusahihisha, kuongeza habari, kuziondoa au kuzibadilisha. Karibu kila ukurasa una kiungo kinachosema "'''''hariri chanzo'''''", ambacho kinakupatia nafasi ya kubadilisha ukurasa unaotazama. ''(Kurasa chache [[Wikipedia:Makala zinazolindwa|zinalindwa]] hazinahazikupi nafasi hii.)''
 
Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kuhariri. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, [[Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo)|tafadhali weka marejeo]], kwa sababu habari zisizo na uthibitisho kuna uwezekano mkubwa wa kuondolewa. Pia ni ushauri mwema kwamba kutafuta majadiliano kwenye ukurasa wamajadilianowa majadiliano kama unataka kuleta mabadiliko makubwa hasa ukiona mwandishi aliyetangulia alikosea na wewe unatarajia kuleta habari za kinyume. Kujadiliana kwanza inasaidia kuepukana na [[wikipedia:Vita ya uhariri|vita ya uhariri]].
 
Nenda kwakwenye [[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]] na ubonyeze kiungo cha "''hariri chanzo''". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu '''Hifadhi kurasa''' na tazama nini ulichofanyaulichokifanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una haririunahariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyosi maandishi ya ukurasa huu wa mwongozo.
 
==Onyesha hakikisho==
[[Picha:kuhariri-muhtasari.PNG|thumb|right|450px|Kitufe cha "Onyesha hakikisho la mabadiliko" kipo upande wa kulia baada ya kitufe cha "hifadhi kurasa" na chini yake ni uga ya "kuhariri muhtasari.]]
==Muhtasari wa kuhariri==
 
Kabla hujagonga '''Hifadhi kurasa''' ni adabu nzuri kuingiza maelezo mafupi sana kuhusu kile ulichobadilisha kwenye sanduku la '''Muhtasari''' lililopo baina ya dirisha la kuhariria na kitufe cha '''Hifadhi kurasa'''. Inaweza kuwa kifupi sana; kwa mfano kama unaingiza neno "typo", watu watajua kama umefanya masahihisho ya tahajia. Pia, iwapo mabadiliko uliyoyafanya kwenye kurasa yalikuwa madogo, kama vile kusahihisha tahajia na makosa ya kisarufi, kuwa makini kutazama kisanduku cha "Haya ni mabadiliko madogo" (hii inapatikana ukiwa umeingia kwenye akaunti yako tu, basi).