Marvel Studios : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|283x283px|Hii ni nembo ya Marvel Studios '''Marvel studios'''(Ikijulikana kama '''Marvel films''' tangu mwaka 1993...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:22, 3 Novemba 2019

Marvel studios(Ikijulikana kama Marvel films tangu mwaka 1993 hadi 1996) ni kampuni ya kutengeneza filamu ya huko nchini Marekani ambayo ni tawi la The Walt Disney Studios. Marvel studios wanafahamika sana kwa utoaji wa filamu za Marvel cinematic Universe ambazo zimeweza kukusanya pesa takribani $22.5 bilioni huku katika hizo Avengers:Endgame imekusanya $2.8 bilioni Duniani kote.

Hii ni nembo ya Marvel Studios

Marvel Studios wameweza kutoa filamu Ishirini na tatu tangu mwaka 2008 hadi sasa. Filamu ya kwanza ilikua ni Iron Man (2008) na filamu ya mwisho ni Spider-Man: Far From Home (2019). Filamu hizi huwa na mwendelezo wa Moja na nyingine.


Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marvel Studios kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.