Eleazari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|thumb|Eleazari katika ''[[Promptuarium Iconum Insigniorum''.]] '''Eleazari''' (kwa Kiebrania: אֶלְעָזָר, ʼElʽazar au...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Eleasar.jpg|250px|thumb|Eleazari katika ''[[Promptuarium Iconum Insigniorum]]''.]]
'''Eleazari''' (kwa [[Kiebrania]]: '''אֶלְעָזָר''', ʼElʽazar au ʼElʽāzār; maana yake "Mungu amesaidia") alikuwa [[kuhani mkuu]] wa pili katika [[Biblia ya Kiebrania]] baada ya [[kifo]] cha [[baba]] yake [[Aroni]]<ref>Hesabu 20:26-28</ref>, [[kaka]] wa [[Musa]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]].
Mstari 7:
 
==Wengine walioitwa Eleazari katika Biblia==
[[Wanaume]] wengine [[sita]] wanatajwa kwa [[jina]] hilo katika [[Biblia]]:
* [[Eleazari bin Aminadab]], aliyetunza [[Sanduku la Agano]]
* [[Eleazari bin Dodo]], [[shujaa]] wa [[Mfalme Daudi]]
Mstari 14:
* [[Eleazari mfiadini]], aliyeuawa katika dhuluma ya [[Antioko Epifane|Antioko IV Epifane]]
* [[Eleazari bin Eliudi]], baba mzaa babu wa [[Yosefu (mume wa Maria)]].
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
== Tanbihi==
Line 21 ⟶ 27:
* [http://www.mpc.org.mk/English/Calendar/prologue.asp?id=1800 Lives of the saints - Righteous Eleazar], [[Macedonian Orthodox Church]] website
{{mbegu-mtu-Biblia}}
[[Jamii:Waliofariki karne ya 12 KK]]
[[Category:Watu wa Biblia]]
[[Category:Watakatifu wa Israeli]]