Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
Ujue ya kwamba tunatumia pekee picha kutoka [[:commons:Main_Page|Wikimedia Commons]]. Ni marufuku kutumia picha "kutoka intaneti", google au social media.
 
Esdras Kitakya
==Viungo vya picha==
Picha au michoro huonekana katika makala kwa njia ya viungo. Ili picha ionekane lazima kwanza faili yake iwepo katika kumbukumbu ya wikipedia. Hapa kuna njia 2:
:1) kutumia akiba kubwa sana ya faili za picha huria zilizopo tayari katika kumbukumbu ya '''sw.wikipedia.org''' au '''commons.wikimedia.org''' au
:2) kupakia faili ya picha kutoka kompyuta yako. Kwa kupakia unaingiza picha hii katika kumbukumbu ya wikipedia. Kabla ya kufanya hii sharti kuhakikisha ya kwamba una haki ya kufanya vile. (tazama chini: wapi kuchukua picha za kupakiza).
[[Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|200px|Nembo ya Tanzania 250px <br /><sup>maandishi ya kiungo chake ni <br /><nowiki>Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|200px|Nembo ya Tanzania 250px</nowiki></sup>]]
 
====Umbo la kiungo cha picha====
Kuna njia mbalimbali za kuingiza picha. Hapa sw:wikipedia tufuate mtindo wa "thumbnail" au kifupi "thumb". Umbo la "thumb" lina faida mbalimbali na kuepukana na matatizo ya picha kubwa mno.
 
Kiungo cha picha ina sehemu nne ndani ya mabano mraba zinazotenganishwa kwa alama ya "'''|'''" inaonekana hivyo:
 
<nowiki>[[Picha:JINA LA PICHA|thumb|NAMBA YA UPANApx|MAELEZO YA PICHA]] </nowiki>
:#sehemu 1 - '''JINA''': Jina la picha sharti ni sawa kabisa na jina la faili yake. Inatanguliwa na neno "'''Picha:'''". Badala ya picha programu inapokea pia "faili" au maneno ya Kiingereza "image" na "file".
:#sehemu 2 - '''THUMB''': neno hili "thumb" sharti ifuate. Maelezo haya yafaa kwa umbo hili pekee.
:#sehemu 3 - '''NAMBA + px''': namba inaonyesha upana wa picha katika makala. Namba hii kwa kawaida iwe kati ya 80px na 300px. "px" ni kifupi cha "[[pikseli]]". Usichague picha kubwa mno kwa sababu picha kubwa zinachelewesha makala kuonekana dirishani. Uhurumie wenzetu wenye intaneti mwenda polepole! Hapa ni vema kufanya jaribio kwa kutumia kibonye cha "Onyesha hakikisho la mabadiliko" kabla ya kuhifadhi kabisa na hapa unaweza kucheza kidogo na kuona ipi inafaa. Mtazamaji akitaka kuona picha kubwa ataigonga tu itatokea kubwa kabisa. '''Angalizo:''' Ukiacha sehemu hii ya tatu itaonekana kwa upana sanifu ya 180px.
[[Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|150px|left|<small><nowiki>Tofauti hapa ni yafuatayo: thumb|100px|left| inayopeleka picha upande mwingine</nowiki></small>]]
:'''4''' sehemu 4 '''MAELEZO''': Kama unaandika maelezo jinsi unavyopenda lakini usiandike maelezo marefu mno!
 
 
====Picha upande wa kushoto====
Mfumo wa "thumb" unaweka picha upande wa kulia. Ukitaka ionekane upande wa kushota uningiza "'''left|'''" kama sehemu ya 5 ndani ya maandishi ya kiungo kabla ya maelezo.
 
====Mkusanyiko wa picha (gallery)====
Wakati mwingine inafaa kuingiza mkusanyiko wa picha kuhusu mada fulani. Linganisha makala ya [[Tongoni]].
 
Hapa tunatumia alama hizi (unaweza kukopi sehemu hii na kuitumia katika dirisha la "Hariri chanzo", kwa kuweka majina na maelezo yenyewe)
'''<source lang="xml">
<gallery>
Jina la picha.jpg|Matini chini ya picha (si lazima)</br>
Jina la picha.jpg|Matini chini ya picha (si lazima)</br>
Jina la picha.jpg|Matini chini ya picha (si lazima)
</gallery>
</source>'''
 
Kuna fomati zaidi, soma hapa [[:en:Help:Gallery_tag]]
 
==Wapi kupata picha==