Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 5:
Esdras Kitakya
 
Jina langu Esdras Kitakya
==Wapi kupata picha==
Nimezaliwa Butembo katika kijiji cha Butuhe Tarehe22/06/1987
jina Baba yangu KISUKI
Jina la mama yangu ONIKE
 
tulizaliwa watoto tatu
===Picha ze wikipedia===
mabinti wa wili na mimi sasa
Yaliyomo yote ya wikipedia pamoja na picha yamwekwa kwenye uwanja wa umma yamekuwa mali ya umma. Uko huru kutumia yote yaliyopo kwenye miradi ya wikipedia.
tumeishi maisha ya shida sana
 
kwani kwa bahati mbaya hatukulelewa nao
====Katika makala nyingine====
waliachana tukiwa bado watoto wadogo sana.
Ukiona picha kwenye makala mengine ya sw:wikipedia au kwa mfano katika makala ya Kiingereza unayotafsiri unaweza kunakili kiungo chake.
::#Bofya "hariri"
::#Tafuta kiungo cha picha unayotaka; nakili kiungo chote (au jina la picha pekee pamoja na nyongeza kama vile ".jpg")
::#Mwaga katika makala yako ya sw:wikipedia
::#Sahihisha umbo la kiungo jinsi inavyohitajika (en:wikipedia hawatumii wakati wote umbo la "thumb" - hapa sharti uingize; wikipedia za lugha nyingine wana majina mengine kwa "picha" zisizotambuliwa kwetu kwa mfano "Bild:" n.k.; sharti usahihishe na kubadilisha)
::#Jaribisha kama picha inaonekana kwa njia ya "onyesha hakikisho.."; kama haionekani: tazama chini!
 
====Katika makala za en:wikipedia====
Watumiaji wengi watachungulia pia wikipedia ya Kiingereza na kuona picha huko. Hapa kuna aina mbili za picha:
::#Picha kutoka Commons.wikimedia: hii ni kumbukumbu kubwa sana ya [[wikimedia]] na jina la faili hapa inasomeka katika miradi yote ya wikimedia pamoja na wikipedia pia kwetu.
::#Picha inayopatikana katika wikipedia ya Kiingereza tu. Picha hii haitaonesha mpaka umeichukua na kuingiza katika wikipedia yetu.
::##Kuna sababu kadhaa za picha kutokuwepo katika commons. Kwa mfano mtumiaji huko aliona ugumu kuzoea commons lakini amezoea kupakiza kwenye en:wikipedia. Kwetu sw:wikipedia kuna picha na ramani yenye maandishi yaliyoswahilishwa mara nyingi hazikupelekwa commons maana wengine hawaelewi. Sababu nyingine ni hakimiliki; nchi zenye sheria za Marekani na Uingereza zina utaratibu wa kutumia picha zisizokubalika katika nchi nyingine kwa hiyo picha hizi haziwekwi commons kwa matumizi kote duniani. (Hapa sw:wikipedia tunaweza kutumia picha zote kutoka en:wikipedia).
::##Kama picha haiko commons lakini katika wikipedia ya lugha fulani kuna njia ifuatayo:
::##Bofya kwa kibonye cha kulia cha [[puko]] kwenye picha, chagua "save as" na uihifadhi kwenye kompyuta yako (kwa muda, futa baadaye).
 
Halafu utapakia picha yako hapa fuata maelezo hapo chini "Kupakia picha".
 
====Kutoka Commons moja kwa moja====
Commons ni mahali pakubwa sana. Unapata chaguo kweli. Picha ziko pamoja katika vikundi vya "Categories". Njia rahisi ya kuingia ni:
:# Ukiona picha ya kufaa lakini unataka picha nyingine kuhusu mada hiyohiyo bofy kwenye picha.
:# Faili ya picha inafunguliwa, chini yake kuna maneno "Faili hili linatoka Wikimedia Commons. Maelezo yapo kule kwenye '''ukurasa wake wa maelezo''' unaonekana hapo chini."
:#Bofya maneno mazito "ukurasa wake wa maelezo" utafika kwenye ukurasa wa faili kwenye commons.
:#hapa angalia chini kabisa utaona kasanduku inayosema Categories (mfano wetu: Categories: Coats of arms of Tanzania | Fire and containers in heraldry .....). Hapa unaingia na utaona mifano mingine (kama ipo).
 
===Picha kutoka nje ya wikipedia?===
Hapa lazima kuwa kiangilifu maana katika wikipedia hatutaki matatizo ya kisheria kwa sababu za kisheria. Tunaheshimu hatimiliki za picha!
 
====Kutoka google-search?====
'''Hapana!''' Kwa kawaida picha zinazopatikana kwa njia ya google hazifai wa sababu hatimiliki si huru. Haikubaliki kwenye wikipedia. Isipokuwa kama picha kwa hakika ina umri mkubwa na wote wenye haki za picha wameshakufa tangu miaka 70. Tazama chini!
 
====Mali ya umma ?====
Angalia ukurasa huu katika en:wikipedia wanapoorodhesha picha ambazo zimekuwa mali ya umma:
[http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Public_domain_image_resources Public Domain Image resources]
 
====Picha zangu?====
Hii ni sawa kama hakuna haki za wale wanaoonyeshwa kwenye picha hii. Fuata maelezo ya juu "Katika makala za en:wikipedia" yaani hifadhi kwanza kwenye kompyuta yako halafu pakia. Kwenye nafasi ya hatimiliki utachagua "Own work, all rights eleased". Kwenye nafasi ya maelezo utaandika umechukua picha wapi na lini na kwa nini hakuna haki wa wale wanaoonekana (kwa mfano: wamekubali, au: ni picha ya barabarani).
 
Lakini tahadhari: usishangae ukiulizwa tena - maswali yale hayawezi kuelezwa hapa katika mistari miwili!
[[picha:Pakia_faili.jpg|thumb|450px|Dirisha la kupakia (bofya hapa ukitaka kuona mfano kwa karibu zaidi)]]
 
===Kupakia Picha===
Baada ya kuhakikisha ya kwamba picha uliochagua ni halali kuingizwa katika wikipedia unahitaji kuipakiza ("upload").
Kabla ya kuipakiza utahifadhi picha kwenye kompyuta yako. Huwezi kuchukua picha kutoka intaneti moja kwa moja na kuipeleka wikipedia.
 
Fuata hatua hizi:
::#Hifahi picha ulioteua kwenye kompyuta yako.
::#hakikisha ya kwamba picha ina moja kati ya fomati zifuatazo: png, gif, jpg, jpeg, xcf, pdf, mid, ogg, ogv, svg, djvu, oga. Kama si vile, fungua kwa programu ya picha na hifadhi tena katika fomati kama .png au .jpg.
::#Katika dirisha la wikipedia bofya "pakia faili" halafu katika dirisha jipya bofya "Search" yaani unaelekea kwenye kompyuta yako penye faili uliyohifadhi, lazima ionekane mwishowe katika nafasi ya "Jina la faili la chanzo"
::#Kwenye nafasi ya "Jina la faili la mwishilio" unaweza kubadilisha jina jinsi litakavyoonekana katika sw:wikipedia
::#Kwenye nafasi ya Hatimiliki unachagua ile inayofaa. Ukichukua kutoka en:wikipedia utaweka "GNU Free Documentation License". KAMA kuna maelezo yenye masharti chagua "GDFL content with disclaimers...". Kama ni picha yako, tazama juu. Menginevyo uliza wakabidhi!
::#Kwenye nafasi ya muhtasari weka anwani asilia ya faili kwa mfano "Kutoka <nowiki>http://en.wikipedia.org/wiki/Image:Coat_of_arms_of_Tanzania.svg</nowiki>. Kama umeswahilisha ramani n.k. ongeza "imebadilishwa na user: JINA LAKO". Kama ni picha uliopiga mwenyewe taja tarehe na mahali pa picha, mengine soma juu!
::#Ingiza kiungo kwa jamii ya picha katika mstari mpya kwenye nafasi ya muhtasari. Chagua jamii husika ukianza kuchungulia kwenye '''<nowiki>[[Jamii:Picha za Wikipedia]]</nowiki>'''. Weka jina la jamii katika mabano mraba jinsi ilivyo mbele kwa Jamii:Picha za Wikipedia.
::#Mwishowe bofya "Pakis faili".
 
[[Jamii:Msaada]]