Kwaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '<br /> == Kwaya ni kundi la waimbaji au uimbaji wa watu kwa pamoja. == AINA ZA KWAYA Kuna aina mbali mbali za kwaya lakini hapa tunaorodhesha baadhi tu ya ain...'
 
No edit summary
Mstari 1:
== '''Kwaya''' ni kundi la waimbaji au [[uimbaji]] wa watu kwa pamoja. ==
<br />
 
== Kwaya ni kundi la waimbaji au uimbaji wa watu kwa pamoja. ==
AINA ZA KWAYA
 
Kuna aina mbali mbali za kwaya lakini hapa tunaorodhesha baadhi tu ya aina hizo.
 
# KWAYAKwaya YAya WANAWAKEwnawake: Hii ni kwaya inayojumuisha wanawake (watu wa jinsia ya kike) pekee bila wanaume (watu wa jinsia ya kiume). Kwaya ya namna hii kwa kawaida huwa na sauti mbili tu, yaani sauti ya kwanza (Soprano) na sauti ya pili (Alto).
# KWAYAKwaya YAya WATOTOwatoto: Hii ni kwaya watoto. Kwaya hii nayo kwa kawaida huwa na sauti mbili kama ilivyo kwaya ya wanawake pekee.
# KWAYAKwaya YAya WANAUMEwanaume: Aina hii ya kwaya hujumuisha wanaume pekee. Hii pia huwa na sauti moja hadi mbili kwa kawaida lakini wakati mwingine huwa hata na sauti zote nne. Hii sasa si kwa kwaya ya wanaume tu bali hata kwaya ya wanawake pia hata ya watoto kufuatia maendeleo ya kimuziki wataalamu wameendelea kugundua uwezekano wa kutengeneza sauti zote nne kama ilivyo katika kwaya ya mchanganyiko.
# KWAYAKwaya YAya MCHANGANYIKOmchanganyiko: Hii hujumuisha wote wanaume na wanawake hata na watoto pia. Kama yalivyo maelezo ya hapo juu; aina hii kwaya kwa kawaida huwa na sauti zote nne yaani yaani sauti ya kwanza (Soprano), sauti ya pili (Alto), sauti ya tatu (Tenor) na sauti ya nne (Bass).
 
 
[[Jamii:Muziki]]