Usanisinuru : Tofauti kati ya masahihisho
d
Masahihisho aliyefanya Roger Inonga (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na ChriKo
No edit summary |
d Masahihisho aliyefanya Roger Inonga (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na ChriKo Tag: Rollback |
||
Mstari 1:
[[Picha:Leaf 1 web.jpg|thumb|200px|
'''Usanisinuru''' (pia '''usanidimwanga''') ni mchakato wa kibiolojia na kikemia ambako [[mimea]] ya [[kijani]] inageuza [[nguvu]] ya [[nuru]] ya [[jua]] kuwa [[nishati]] ya kikemia. Inatengeneza [[kabohidrati]] ikitumia nguvu ya nuru ya jua na [[dioksidi kabonia]] ya [[Hewa|hewani]] pamoja na [[maji]].
Nje ya mimea kuna pia aina kadhaa za [[bakteria]] na hasa [[mwani]] zinazofanya usanisinuru.
▲[[Picha:Leaf 1 web.jpg|thumb|200px|Chaque feuille contient une usine non visible à l'œil nu]]
Fomula yake ni
:6 [[dioksidi kabonia|CO<sub>2</sub>]] + 12 [[maji|H<sub>2</sub>O]] + nuru → [[Glukosi|C<sub>6</sub>H<sub>12</sub>O<sub>6</sub>]] + 6 [[oksijeni|O<sub>2</sub>]] + 6 [[maji|H<sub>2</sub>O]]
:[[dioksidi kabonia]] + [[maji]] + nishati nuru → [[glukosi]] + [[oksijeni]] + [[maji]]
Usanisinuru ni msingi wa [[maisha]] yote [[duniani]]. Unajenga [[mada]] ogania ambayo ni chanzo cha [[lishe]] katika [[mtando chakula]] kwa karibu [[viumbehai]] vingine vyote kwa njia moja au nyingine. Kwa njia hii ni chanzo cha [[mtando chakula]] wa [[uhai]] wote.
== Mchakato wa usanisinuru ==
[[Picha:Chloroplast-new.jpg|right|thumb|Picha ya kiwiti (chloroplast)]]
Usanisinuru unaanza kwenye sehemu za kijani za majani. Rangi ya kijani inatokana na punje ndogo sana za [[kiwiti]] ndani ya majani. Wakati nuru ya jua inafikia kiwiti inasababisha kemikali ndani yake kuvunja molekuli za maji. Molekuli ya maji ikivunjwa inatoa oksijeni, [[hidrojeni]] na nishati. Protini ndani ya seli inatumia dutu hizi pamoja na dioksidi kabinia ya hewani kujenga [[glukosi]] na [[ATP]] ambayo ni molekuli ya [[fosifati]] inayotunza nishati nyingi ndani ya [[muungo kemia]] wake.
Katika mchakato huu oksijeni inaachishwa na hivyo usanisinuru ni pia chanzo cha [[oksijeni]] katika [[angahewa]] ya dunia jinsi ilivyo.
{{mbegu-biolojia}}
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Mimea]]
|